Uchanganuzi wa Mofu katika Kauli Mbalimbali za Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi moja: Lahaja ya Ginantuzu
Suala la mfuatano wa mofu katika kauli za vitenzi limewavuta wanaisimu wengi. Hata hivyo, hakuna utafiti ambao umefanyika katika Kisukuma lahaja ya Ginantuzu kuhusu mfuatano wa mofu katika kauli za vitenzi vya silabi moja. Kwa hiyo, makala hii ililenga kuchunguza uchanganuzi wa mofu katika kauli mb...
Kaydedildi:
| Yazar: | |
|---|---|
| Materyal Türü: | Artigo |
| Dil: | Suaíli |
| Baskı/Yayın Bilgisi: |
Utafiti Foundation
2025-07-01
|
| Seri Bilgileri: | Journal of Kiswahili and Other African Languages |
| Konular: | |
| Online Erişim: | https://utafitionline.com/index.php/jkal/article/view/1151 |
| Etiketler: |
Etiket eklenmemiş, İlk siz ekleyin!
|
