Hali ya Lugha ya Kiswahili katika Vyuo Vikuu nchini Tanzania: Mifano kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Watafiti wa makaka hii wanaangazia hali ya lugha ya Kiswahili katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA[1] kuanzia sasa). Azma ya uchunguzi huo ni kutaka kubaini endapo lugha ya Kiswahili inapewa nafasi stahiki katika Chuo hicho au la. Hii inatokana na ukweli kwamba kuna baadhi ya taasisi...
محفوظ في:
| المؤلفون الرئيسيون: | , |
|---|---|
| التنسيق: | Artigo |
| اللغة: | Suaíli |
| منشور في: |
Utafiti Foundation
2023-12-01
|
| سلاسل: | Journal of Kiswahili and Other African Languages |
| الموضوعات: | |
| الوصول للمادة أونلاين: | https://utafitionline.com/index.php/jkal/article/view/394 |
| الوسوم: |
لا توجد وسوم, كن أول من يضع وسما على هذه التسجيلة!
|
