Utata wa Baadhi ya Viambishi Tamati katika Vitenzi vya Kiswahili
Baadhi ya viambishi tamati katika vitenzi vya Kiswahili vimechanganuliwa na kuelezwa kwa namna zinazokinzana miongoni mwa wanaisimu mbalimbali. Makala hii inafafanua utata unaojitokeza katika suala hilo na kisha kupendekeza suluhisho muafaka. Makala hii ni matokeo ya utafiti wa mapitio ya machapish...
Salvato in:
| Autore principale: | |
|---|---|
| Natura: | Artigo |
| Lingua: | Suaíli |
| Pubblicazione: |
Utafiti Foundation
2025-05-01
|
| Serie: | Journal of Kiswahili and Other African Languages |
| Soggetti: | |
| Accesso online: | https://utafitionline.com/index.php/jkal/article/view/1038 |
| Tags: |
Nessun Tag, puoi essere il primo ad aggiungerne!!
|
