Mchango wa TEHAMA na Changamoto Zake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Msamiati wa Kiswahili Tanzania
Makala hii inachunguza mchango wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na changamoto zake katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili nchini Tanzania. Shabaha kuu ilikuwa kubainisha namna TEHAMA inavyochangia katika mbinu za ufundishaji, kuongeza ufanisi wa ujifunzaji, na kuimarisha mawas...
I tiakina i:
| Kaituhi matua: | |
|---|---|
| Hōputu: | Artigo |
| Reo: | Suaíli |
| I whakaputaina: |
Utafiti Foundation
2025-11-01
|
| Rangatū: | Journal of Kiswahili and Other African Languages |
| Ngā marau: | |
| Urunga tuihono: | https://utafitionline.com/index.php/jkal/article/view/1430 |
| Ngā Tūtohu: |
Kāore He Tūtohu, Me noho koe te mea tuatahi ki te tūtohu i tēnei pūkete!
|
