Codice QR

Mkakati wa Tafsiri Mkopo wa Istilahi za Kiingereza katika Kiswahili na Athari zake: Uchanganuzi wa Vidahizo Teule vya Kamusi ya Biolojia, Fizikia na Kemia

Makala hii inachunguza mkakati wa tafsiri mkopo wa istilahi za Kiingereza katika Kiswahili na athari zake kwa kuangazia uga wa biolojia, fizikia na kemia kupitia vidahizo teule vya Kamusi ya Biolojia, Fizikia na kemia (2012). Azma kuu ya uchunguzi huu ni kutathmini mchango wa tafsiri mkopo wa msami...

Descrizione completa

Salvato in:
Dettagli Bibliografici
Autori principali: Editha Adolph, Simon Chipanda
Natura: Artigo
Lingua:Suaíli
Pubblicazione: Utafiti Foundation 2024-01-01
Serie:Journal of Kiswahili and Other African Languages
Soggetti:
Accesso online:https://utafitionline.com/index.php/jkal/article/view/404
Tags: Aggiungi Tag
Nessun Tag, puoi essere il primo ad aggiungerne!!