Viashiria vya Kujiua: Uchunguzi wa Mhusika Kazimoto katika Riwaya ya Kichwamaji
Wahusika katika kazi za fasihi huumbwa kwa ustadi mkubwa kwa lengo la kubeba tafakuri na fikra za mtunzi kuhusu maisha ya jamii. Katika uumbaji huo, aghalabu, binadamu husawiriwa kama kiumbe anayeteseka na anayeishi katika ulimwengu usiomjali, aliyezungukwa na mateso na ubwege[1], na anayeshindwa k...
I tiakina i:
| Kaituhi matua: | |
|---|---|
| Hōputu: | Artigo |
| Reo: | Suaíli |
| I whakaputaina: |
Utafiti Foundation
2024-05-01
|
| Rangatū: | Journal of Kiswahili and Other African Languages |
| Ngā marau: | |
| Urunga tuihono: | https://utafitionline.com/index.php/jkal/article/view/548 |
| Ngā Tūtohu: |
Kāore He Tūtohu, Me noho koe te mea tuatahi ki te tūtohu i tēnei pūkete!
|
